sw_dan_text_reg/09/27.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 27 Atalithibitisha agano pamoja na watu wengi kwa miaka saba. Katikati ya miaka saba atakomesha dhabihu na sadaka. Baada ya chukizo la uharibifu atatokea mtu atakayeleta ukiwa hadi mwisho kamili wa uharibifu uliokuwa umeamriwa kumwagwa juu yake yeye ambaye amesababisha ukiwa."