sw_dan_text_reg/09/22.txt

1 line
242 B
Plaintext

\v 22 Alinipa ufahamu na aliniambia, "Danieli, nimekuja sasa ili nikupe utambuzi na ufahamu. \v 23 Ulipoanza kuomba rehema, amri ilitolewa na nimekuja kukwambia jibu, kwa kuwa unapendwa sana. Hivyo basi, tafakari neno hili na uufahamu ufunuo.