sw_dan_text_reg/09/01.txt

1 line
388 B
Plaintext

\c 9 \v 1 Katika mwaka wa kwanza wa Dario mwana wa Ahasuero--uzao wa Wamedi, alikuwa amefanywa mfalme juu ya ufalme wa Wakaldayo--. \v 2 katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario, mimi Danieli, nilikuwa najisomea vitabu vilivyo na neno la Yahweh, neno ambalo lilikuwa limemjia Yeremia nabii. Niligundua kwamba kungekuwa na miaka sabini hadi kufika mwisho wa kuachwa ukiwa kwa Yerusalemu.