sw_dan_text_reg/08/24.txt

2 lines
465 B
Plaintext

\v 24 Nguvu zake zitakuwa kuu--lakini si kwa nguvu zake mwenyewe. Atakuwa wa kustaajabisha kwa kile atakachokuwa anakiharibu; atatenda na kufanikiwa. Atawaangamiza watu wenye nguvu na watu watakatifu. \v 25 Ataufanya udanganyifu usitawi chini ya mkono wake kwasababu ya ujanja wake. atakuwa mashuhuri kwa akili zake
mwenyewe. Atawaangamiza watu wengi bila kutegemea. Atainuka pia dhidi ya Mkuu wa wafalme, na atavunjwa, lakini si kwa mkono wowote wa kibinadamu.