sw_dan_text_reg/08/18.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 18 Alipoongea na mimi, nilipata usingizi mzito nikiwa nimelala kifudifudi. Kisha alinishika na kunisimamisha. \v 19 Akaniambia, "Tazama, nitakuonyesha kile kitachotokea baadaye katika kipindi cha ghadhabu, kwasababu maono haya yanahusu wakati wa mwisho uliowekwa.