sw_dan_text_reg/08/11.txt

1 line
329 B
Plaintext

\v 11 Alizidi kujifanya mkubwa, kama kamanda wa jeshi. Sadaka za kuteketezwa za kila siku ziliondolewa mbali na yeye, na sehemu yake takatifu ilitiwa unajisi. \v 12 Kwasababu ya uasi, pembe ya mbuzi itapewa jeshi, na sadaka za kuteketezwa zitasitishwa. Pembe itautupa ukweli chini ardhini, na itafanikiwa katika jambo ilifanyalo.