sw_dan_text_reg/08/09.txt

1 line
329 B
Plaintext

\v 9 Kutoka katika pembe moja ilichipuka pembe nyingine, ilikuwa ndogo hapo awali, lakini baadaye ilikuwa pembe kubwa upande wa kusini, na mashariki, na katika Nchi ya Uzuri. \v 10 Pembe ilikuwa kubwa kiasi cha kuinua vita dhidi ya jeshi la mbinguni. Baadhi ya jeshi hilo na nyota kadhaa zilitupwa chini duniani, na zilikanyagwa.