sw_dan_text_reg/08/05.txt

1 line
409 B
Plaintext

\v 5 Na nilipokuwa natafakari juu ya hili, niliona beberu akitoka magharibi, na kuvuka katika uso wa dunia yote, akikimbia kwa kasi kana kwamba haonekani akigusa ardhi. Mbuzi huyo alikuwa na pembe kubwa katikati ya macho yake. \v 6 Alikuja mpaka kwa kondoo aliyekuwa na pembe mbili--nilikuwa nimemwona kondoo dume amesimama katika ukingo wa mfereji--na mbuzi alikimbia kumwelekea kondoo dume kwa hasira kali.