sw_dan_text_reg/08/03.txt

1 line
515 B
Plaintext

\v 3 Nilitazama juu na nikaona mbele yangu kondoo dume lenye pembe mbili, limesimama pembeni mwa mfereji. Pembe moja ilikuwa ndefu kuliko nyingine, lakini pembe ndefu ilikuwa inakua pole pole kuliko ile fupi na pembe fupi ilirefuka na kuizidi nyingine. \v 4 Niliona kondoo dume akiishambulia magharibi, kisha kaskazini, na baadaye kusini; hakuna mnyama mwingine aliweza kusimama mbele yake. Hakuna yeyote kati yao aliweza kumwokoa yeyote katika mkono wake. Alifanya chochote kile alichokitaka, na akawa mkubwa sana.