sw_dan_text_reg/08/01.txt

1 line
314 B
Plaintext

\c 8 \v 1 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Belshaza, mimi Danieli niliona maono (baada ya maono ya kwanza yaliyonitokea). \v 2 Nilipokuwa nikiangalia, niliona katika maono, kwamba nilikuwa katika mji wa Shushani kwenye ngome ya jimbo la Elamu. Niliona katika maono kuwa nilikuwa karibu na mfereji wa Ulai.