sw_dan_text_reg/07/15.txt

1 line
226 B
Plaintext

\v 15 Na kwangu mimi, Danieli, roho yangu ilihuzunishwa ndani yangu, na maono niliyoyaona katika akili zangu yalinisumbua. \v 16 Nilimsogelea mmoja wa hawa waliokuwa wamesimama hapo na nikamwomba anioneshe maana ya mambo haya.