sw_dan_text_reg/05/08.txt

1 line
280 B
Plaintext

\v 8 Ndipo watu wote wa mfalme waliokuwa wakijulikana kwa hekima yao waliingia ndani, lakini hawakuweza kuyasoma maandishi wala kueleza maana yake kwa mfalme. \v 9 Kisha mfalme Belshaza alishitushwa sana na mwonekano wa uso wake ulibadilika. Wakuu wake nao walichanganyikiwa sana.