sw_dan_text_reg/04/33.txt

1 line
266 B
Plaintext

\v 33 Agizo hili kinyume na Nebukadneza lilitekelezwa ghafla. Aliondolewa miongoni mwa watu. Alikula majani kama ng'ombe, na mwili wake ulilowa kwa umande wa kutoka mbinguni. Nywele zake zilirefuka kama manyoya ya tai, na makucha yake yalikuwa kama makucha ya ndege.