sw_dan_text_reg/04/26.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 26 Kama ilivyoamriwa kwamba kukiacha kisiki cha mizizi ya mti, kwa njia hii ufalme wako utarudishiwa katika kipindi ambacho utajifunza kwamba mbingu inatawala. \v 27 Hivyo basi, mfalme, ushauri wangu na ukubalike kwako. Acha kutenda dhambi na utende haki. Geuka uache uovu wako kwa kuonesha huruma kwa walionewa, na itakuwa kwamba mafanikio yako yatapanuliwa."