sw_dan_text_reg/04/19.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 19 Ndipo Danieli aliyeitwa pia Belteshaza, alihuzunishwa kwa muda, na mawazo yake yalimshtua. Mfalme akasema, " Belteshaza, usifadhaishwe na ndoto au tafsiri yake." Belteshaza akajibu, " Bwana wangu, ndoto hii na iwe kwa ajili ya watu wanaokuchukia, tafsiri yake na iwe kwa ajili ya adui zako.