sw_dan_text_reg/03/15.txt

1 line
350 B
Plaintext

\v 15 Basi sasa kama mko tayari--mtakaposikia sauti ya pembe, filimbi, ala za muziki, zeze, vinumbi na zumari, aina zote za muziki--kuanguka chini na kuisujudia wenyewe sanamu ile ambayo nimeitengeneza, mambo yote yatakuwa mazuri. Lakini kama hamtaiabudu, mtatupwa mara katika tanuru la moto. Ni muungu gani atakayeweza kuwaokoa katika mikono yangu?"