Wed Jan 18 2023 07:49:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-18 07:49:12 +03:00
parent 0048f1e08e
commit faf67966ba
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Kuna mtu katika ufalme wako ambaye ana roho ya miungu watakatifu ndani yake. Katika siku za baba yako, mwanga na uelewa na hekima ya miungu ilipatikana ndani yake. Mfalme Nebukadneza, baba yako mfalme, alimfanya kuwa mkuu wa waganga, pamoja na mkuu wa wale wanazungumza na wafu, na wa wenye hekima, na wa wataalamu wa nyota. \v 12 Roho bora, ufahamu, uelewa, kutafsiri ndoto, kufafanua mafumbo na kutatua matatizo - hizi ni sifa zilizopatikana kwa mtu huyu Danieli, ambaye mfalme alimwita Belteshaza. Sasa mwiteni Danieli naye atawaambia maana ya kile kilichoandikwa."
\v 11 Kuna mtu katika ufalme wako ambaye ana roho ya miungu watakatifu ndani yake. Katika siku za baba yako, mwanga na uelewa na hekima ya miungu ilipatikana ndani yake. Mfalme Nebukadneza, baba yako mfalme, alimfanya kuwa mkuu wa waganga, pamoja na mkuu wa wale wanazungumza na wafu, na wa wenye hekima, na wa wataalamu wa nyota. \v 12 Roho bora, ufahamu, uelewa, kutafsiri ndoto, kufafanua mafumbo na kutatua matatizo--hizi ni sifa zilizopatikana kwa mtu huyu Danieli, ambaye mfalme alimwita Belteshaza. Sasa mwiteni Danieli naye atawaambia tafsiri ya kile kilichoandikwa."

View File

@ -111,6 +111,7 @@
"05-05",
"05-07",
"05-08",
"05-10"
"05-10",
"05-11"
]
}