From f5b0bd2a2d7654c4c2d9c7b90bc9468ade688c21 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Thu, 26 Jan 2023 17:16:33 +0300 Subject: [PATCH] Thu Jan 26 2023 17:16:32 GMT+0300 (East Africa Time) --- 06/12.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/06/12.txt b/06/12.txt index 43da121..c9366ce 100644 --- a/06/12.txt +++ b/06/12.txt @@ -1 +1 @@ -\v 12 Ndipo walipomwendea mfalme na kuongea naye kuhusiana na amri yake: "Je haukuweka amri kwamba mtu yeyote atayefanya maombi kwa mungu mwingine au kwa binadamu ndani ya siku thelathini zijazo, isipokuwa kwako wewe, mfalme, lazima mtu huyo atupwe katika tundu la simba? Mfalme akajibu, "Jambo hili ni la hakika, kama ilivyoelekezwa katika sheria za Wamedi na Waajemi; ambazo haziwezi kubatilishwa." \ No newline at end of file +\v 12 Ndipo walipomwendea mfalme na kuongea naye kuhusiana na amri yake: "Je haukuweka amri kwamba mtu yeyote atayefanya maombi kwa muungu mwingine au kwa binadamu ndani ya siku thelathini zijazo, isipokuwa kwako wewe, mfalme, lazima mtu huyo atupwe katika tundu la simba? Mfalme akajibu, "Jambo hili ni la hakika, kama ilivyoelekezwa katika sheria za Wamedi na Waajemi; ambazo haziwezi kubatilishwa." \ No newline at end of file