Fri Jan 20 2023 09:31:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 09:31:31 +03:00
parent 309b7eb7d4
commit bb362fbf6e
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Alizidi kujifanya mkubwa, kama kamanda wa jeshi. Sadaka za kuteketezwa za kila siku ziliondolewa mbali na yeye, na sehemu yake takatifu ilitiwa unajisi. \v 12 Kwasababu ya uasi, pembe ya mbuzi itapewa jeshi, na sadaka za kuteketezwa zitasitishwa. Pembe itautupa ukweli chini ardhini, na itafanikiwa katika kila jambo ilifanyalo.
\v 11 Alizidi kujifanya mkubwa, kama kamanda wa jeshi. Sadaka za kuteketezwa za kila siku ziliondolewa mbali na yeye, na sehemu yake takatifu ilitiwa unajisi. \v 12 Kwasababu ya uasi, pembe ya mbuzi itapewa jeshi, na sadaka za kuteketezwa zitasitishwa. Pembe itautupa ukweli chini ardhini, na itafanikiwa katika jambo ilifanyalo.

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Kisha nilimsikia mtakatifu mmoja akiongea na mtakatifu mwingine akamjibu, " Mambo haya yatadumu kwa muda gani, maono haya ya sadaka ya kuteketezwa, dhambi ile iletayo uharibifu, ukabidhiajia wa sehemu takatifu, na jeshi la mbinguni kukanyagwa? \v 14 Aliniambia, " Itadumu kwa jioni na asubuhi zipatazo 2, 300. Baada ya hapo, mahali patakatifu patawekwa sawa."
\v 13 Kisha nilimsikia mtakatifu mmoja akiongea na mtakatifu mwingine akimjibu, " Mambo haya yatadumu kwa muda gani, maono haya ya sadaka ya kuteketezwa, dhambi ile iletayo uharibifu, ukabidhiajia wa sehemu takatifu, na jeshi la mbinguni kukanyagwa? \v 14 Aliniambia, " Itadumu kwa jioni na asubuhi zipatazo 2, 300. Baada ya hapo, mahali patakatifu patawekwa sawa."

View File

@ -158,6 +158,7 @@
"08-03",
"08-05",
"08-07",
"08-09"
"08-09",
"08-11"
]
}