Thu Jan 26 2023 16:56:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-26 16:56:34 +03:00
parent dc9b6bd516
commit b5f59cc843
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Kisha Danieli akajibu mbele ya mfalme, "Zawadi yako na iwe kwa ajili yako mwenyewe, na thawabu yako na umpe mtu mwingine. Hata hivyo, mfalme, nitakusomea maandishi na nitakwambia maana. \v 18 Na juu yako, Ewe mfalme, Mungu Aliye juu sana alimpa Nebukadneza baba yako ufalme, ukuu, heshima na enzi. \v 19 Na kwasababu ya ukuu huo, Mungu alimpa watu wote, mataifa, na lugha walimtetemekea na kumwogopa. Aliwauwa wale aliotaka wafe na aliwaacha hai wale aliotaka waishi. Aliwainua wale aliowataka, na aliwashusha wale aliowataka.
\v 17 Kisha Danieli akajibu mbele ya mfalme, "Zawadi zako na ziwe kwa ajili yako mwenyewe, na thawabu zako na umpe mtu mwingine. Hata hivyo, mfalme, nitakusomea maandishi na nitakwambia maana. \v 18 Na juu yako, Ewe mfalme, Mungu Aliye juu sana alimpa Nebukadneza baba yako ufalme, ukuu, heshima na enzi. \v 19 Na kwasababu ya ukuu huo, Mungu alimpa watu wote, mataifa, na lugha walimtetemekea na kumwogopa. Aliwauwa wale aliotaka wafe na aliwaacha hai wale aliotaka waishi. Aliwainua wale aliowataka, na aliwashusha wale aliowataka.

View File

@ -113,8 +113,8 @@
"05-08",
"05-10",
"05-11",
"05-13",
"05-15",
"05-17",
"05-20",
"05-22",
"05-25",