Tue Jan 17 2023 12:24:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-17 12:24:55 +03:00
parent 47bbc79462
commit b3fb6d2254
2 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Jambo hili lilimfanya mfalme akasirike na kughadhabika sana, na alitoa amri kuwaangamiza wale wote waliojulikana kuwa ni wenye hekima zao katika Babeli. \v 13 Hivyo, amri ilitoka kwamba wale wote waliojulikana kwa hekima yao ni lazima wauawe. Na kwa sababu ya amri hii, walimtafuta Daniel na rafiki zake ili kwamba wauawe.
\v 12 Jambo hili lilimfanya mfalme akasirike na kughadhabika sana, na alitoa amri kuwaangamiza wale wote waliojulikana kuwa ni wenye hekima katika Babeli. \v 13 Hivyo, amri ilitoka kwamba wale wote waliojulikana kwa hekima yao ni lazima wauawe. Na kwa sababu ya amri hii, walimtafuta Daniel na rafiki zake ili kwamba wauawe.

View File

@ -50,6 +50,8 @@
"02-01",
"02-03",
"02-05",
"02-07"
"02-07",
"02-10",
"02-12"
]
}