Fri Jan 20 2023 09:17:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 09:17:30 +03:00
parent 01e5e469bc
commit a4f0213e1b
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Alizidi kujifanya mkubwa, kama kamanda wa jeshi la kimungu. Sadaka za kuteketezwa za kila siku ziliondolewa mbali na yeye, na sehemu yake takatifu zilitiwa unajisi. \v 12 Kwasababu ya uasi, pembe ya mbuzi ilipewa jeshi, na sadaka za kuteketezwa zitasitishwa. Pembe itautupa ukweli chini ardhini, na itafanikiwa katika kila jambo ilifanyalo.
\v 11 Alizidi kujifanya mkubwa, kama kamanda wa jeshi. Sadaka za kuteketezwa za kila siku ziliondolewa mbali na yeye, na sehemu yake takatifu zilitiwa unajisi. \v 12 Kwasababu ya uasi, pembe ya mbuzi ilipewa jeshi, na sadaka za kuteketezwa zitasitishwa. Pembe itautupa ukweli chini ardhini, na itafanikiwa katika kila jambo ilifanyalo.