Tue Jan 17 2023 13:24:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-17 13:24:55 +03:00
parent 6cd35e9974
commit a0d9a72255
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Wakati huu baadhi ya Walkadayo walikuja na kuleta mashitaka kinyume na Wayahudi. \v 9 Walimwambia mfalme Nebukadneza, "mfalme aishi milele! \v 10 Ewe mfalme, umeweka amri kwamba kila mtu aisikiye sauti ya pembe, filimbi, ala za muziki, zeze, vinubi na zumari, na aina zote za muziki, lazima kuanguka na kuisujudia sanamu ya dhahabu.
\v 8 Wakati huu baadhi ya Walkadayo walikuja na kuleta mashitaka kinyume na Wayahudi. \v 9 Walimwambia mfalme Nebukadneza, "mfalme aishi milele! \v 10 Ewe mfalme, umeweka amri kwamba kila mtu aisikiaye sauti ya pembe, filimbi, ala za muziki, zeze, vinubi na zumari, na aina zote za muziki, lazima kuanguka na kuisujudia sanamu ya dhahabu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Mtu yeyote asiyeanguka na kuiabudu sharti atupwe katika tanuru linalowaka moto. \v 12 Sasa kuna baadhi ya Wayahudi ambao umewaweka juu masuala ya jimbo la Babeli; majina yao ni Shadraka, Meshaki, na Abednego. Mfalme, hawa watu hawakutii wewe. Hawataiabudu, kuitumikia wala kuisujudia wenyewe sanamu ya dhahabu ambayo umeiweka."
\v 11 Mtu yeyote asiyeanguka na kuiabudu sharti atupwe katika tanuru linalowaka moto. \v 12 Sasa kuna baadhi ya Wayahudi ambao umewaweka juu ya masuala ya jimbo la Babeli; majina yao ni Shadraka, Meshaki, na Abednego. Mfalme, hawa watu hawakutii wewe. Hawataiabudu, kuitumikia wala kuisujudia wenyewe sanamu ya dhahabu ambayo umeiweka."

View File

@ -74,6 +74,7 @@
"03-title",
"03-01",
"03-03",
"03-06"
"03-06",
"03-08"
]
}