Wed Jan 18 2023 12:38:50 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-18 12:38:51 +03:00
parent 7885cc57ea
commit a0d3c88bfb
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 1 Ilimpendeza Dario kuchagua juu ya ufalme magavana wa majimbo 120 ambao wangetawala juu ya ufalme wote. \v 2 Juu yao kulikuwa na watawala wakuu watatu, na Daniel alikuwa mmoja wao. Hawa watawala waliwekwa ili waweze kuwasimamia magavana wa majimbo, ili kwamba mfalme asipate hasara. \v 3 Danieli alipambanuliwa juu ya watawala wakuu na juu ya magavana wa majimbo kwasababu alikuwa na roho isiyo ya kawaida. Mfalme alikuwa akipanga kumweka juu ya ufalme wote.
\c 6 \v 1 Ilimpendeza Dario kuchagua juu ya ufalme magavana wa majimbo 120 ambao wangetawala juu ya ufalme wote. \v 2 Juu yao kulikuwa na watawala wakuu watatu, na Daniel alikuwa mmoja wao. Hawa watawala waliwekwa ili waweze kuwasimamia magavana wa majimbo, ili kwamba mfalme asipate hasara yoyote. \v 3 Danieli alipambanuliwa juu ya watawala wakuu na juu ya magavana wa majimbo kwasababu alikuwa na roho isiyo ya kawaida. Mfalme alikuwa akipanga kumweka juu ya ufalme wote.

View File

@ -120,6 +120,7 @@
"05-22",
"05-25",
"05-29",
"06-title"
"06-title",
"06-01"
]
}