Fri Jan 20 2023 11:01:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 11:01:31 +03:00
parent 0f519abc7e
commit 9be0c58d54
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Kwako Bwana, kuna uadilifu. Hata hivyo, kwetu leo, kuna aibu katika nyuso zetu--kwa watu wa Yuda na wale wanaoishi Yerusalem, na kwa Israeli yote. Hii ni pamoja na wale walio karibu na wale walio mbali katika nchi zote ambazo kwazo uliwatawanya. Hii ni kwasababu ya udanganyifu mkubwa tulioufanya kinyume chako. \v 8 Kwetu sisi, Yahweh, kuna fedheha katika nyuso, na kwa wafalme wetu, na kwa viongozi wetu, na kwa babu zetu, kwasababu tumekutenda dhambi wewe.
\v 7 Kwako Bwana, kuna uadilifu. Hata hivyo, kwetu leo, kuna aibu katika nyuso zetu--kwa watu wa Yuda na wale wanaoishi Yerusalem, na kwa Israeli yote. Hii ni pamoja na wale walio karibu na wale walio mbali katika nchi zote ambazo kwazo uliwatawanya. Hii ni kwasababu ya udanganyifu mkubwa tulioufanya kinyume chako. \v 8 Kwetu sisi, Yahweh, kuna fedheha katika nyuso, na kwa wafalme wetu, na kwa viongozi wetu, na kwa babu zetu--kwasababu tumekutenda dhambi wewe.

View File

@ -171,6 +171,7 @@
"09-title",
"09-01",
"09-03",
"09-05"
"09-05",
"09-07"
]
}