diff --git a/08/01.txt b/08/01.txt index afd95e7..f6fc13e 100644 --- a/08/01.txt +++ b/08/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 8 \v 1 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Belshaza, mimi Danieli niliona maono (baada ya maono ya kwanza yaliyonitokea). \v 2 Nilipokuwa nikiangalia, niliona katika maono, kwamba nilikuwa katika mji wa Shushani wenye ngome katika jimbo la Elamu. Niliona katika ndoto kuwa nilikuwa karibu na mfereji wa Ulai. \ No newline at end of file +\c 8 \v 1 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa mfalme Belshaza, mimi Danieli niliona maono (baada ya maono ya kwanza yaliyonitokea). \v 2 Nilipokuwa nikiangalia, niliona katika maono, kwamba nilikuwa katika mji wa Shushani kwenye ngome ya jimbo la Elamu. Niliona katika maoo kuwa nilikuwa karibu na mfereji wa Ulai. \ No newline at end of file