diff --git a/06/10.txt b/06/10.txt index f60fb39..dd522f7 100644 --- a/06/10.txt +++ b/06/10.txt @@ -1 +1 @@ -\v 10 Danieli alipojua kuwa nyaraka imekwisha kusainiwa kuwa sheria, alienda ndani ya nyumba yake (sasa madirisha yake katika chumba cha juu yalikuwa wazi kuelekea Yerusalemu), na alipiga magoti yake, kama alivyokuwa akifanya mara tatu kwa siku, na aliomba na kushukuru mbele ya Mungu wake, kama alivyofanya hapo kabla. \v 11 Kisha watu hawa walikuwa wameunda hila kwa pamoja walimwona Danieli akiomba na kutafuta msaada kutoka kwa Mungu. \ No newline at end of file +\v 10 Danieli alipojua kuwa nyaraka imekwisha kusainiwa kuwa sheria, alienda ndani ya nyumba yake (sasa madirisha yake katika chumba cha juu yalikuwa wazi kuelekea Yerusalemu), na alipiga magoti yake, kama alivyokuwa akifanya mara tatu kwa siku, na aliomba na kushukuru mbele ya Mungu wake, kama alivyofanya hapo kabla. \v 11 Kisha watu hawa walikuwa wameunda hila kwa pamoja walimwona Danieli akiomba na kutafuta kibali kutoka kwa Mungu. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index e238487..66198eb 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -124,6 +124,7 @@ "06-01", "06-04", "06-06", - "06-08" + "06-08", + "06-10" ] } \ No newline at end of file