Thu Jan 26 2023 16:06:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-26 16:06:33 +03:00
parent f3addf21a3
commit 83a1bf8077
2 changed files with 1 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Wakamjibu tena na kusema, "Mfalme na atuambie, watumishi wake, ndoto nasi tutakwambia maana yake." \v 8 Mfalme akawajibu, " Ninajua kwa hakika mnahitaji muda zaidi kwasababu mmeona maamuzi yangu ni magumu kuhusu jambo hili. \v 9 Lakini kama hamtaweza kuniambia ndoto, kuna sentensi moja tu kwa ajili yenu. Mmeamua kuandaa uongo na maneno ya udanganyifu ambayo mmekubaliana kwa pamoja kuniambia mpaka pale nitakapobadili akili zangu. Basi, niambieni ndoto, na kisha nitajua kuwa mnaweza kuitafsiri kwa ajili yangu."
\v 7 Wakamjibu tena na kusema, "Mfalme na atuambie, watumishi wake, ndoto nasi tutakwambia maana yake." \v 8 Mfalme akawajibu, " Ninajua kwa hakika mnahitaji muda zaidi kwasababu mmeona maamuzi yangu ni magumu kuhusu jambo hili. \v 9 Lakini kama hamtaweza kuniambia ndoto, kuna sentensi moja tu kwa ajili yenu. Mmeamua kuandaa uongo na maneno ya udanganyifu ambayo mmekubaliana kwa pamoja kuniambia mpaka pale nitakapobadili akili zangu. Hivyo basi, niambieni ndoto, na kisha nitajua kuwa mnaweza kutoa kuitafsiri."

View File

@ -50,7 +50,6 @@
"02-01",
"02-03",
"02-05",
"02-07",
"02-10",
"02-12",
"02-14",