Fri Jan 27 2023 08:57:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-27 08:57:19 +03:00
parent 370d633182
commit 7d78f53001
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Mfalme wa Kusini atakuwa na nguvu, lakini mmoja kati ya maamiri jeshi wake atakuwa mwenye nguvu kuliko yeye na atakuwa na utawala. ufalme wake kwa nguvu kubwa. \v 6 Baada ya miaka michache, wakati muda utakapokuwa umetimia , watafanya muungano. Binti wa mfalme wa Kusini atakuja kwa mfalme wa Kaskazini kuyathibitisha makubaliano yao. Lakini hataweza kuzitunza nguvu za mkono wake, wala mfalme hatasimama wala mkono wake. Ataachwa-- yeye na wale waliomleta, na baba yake, na yeye aliyemuunga mkono nyakati hizo.
\v 5 Mfalme wa Kusini atakuwa na nguvu, lakini mmoja kati ya maamiri jeshi wake atakuwa mwenye nguvu kuliko yeye na atakuwa na utawala. Ufalme wake utakuwa wa nguvu kubwa. \v 6 Baada ya miaka michache, wakati muda utakapokuwa umetimia , watafanya muungano. Binti wa mfalme wa Kusini atakuja kwa mfalme wa Kaskazini kuyathibitisha makubaliano yao. Lakini hataweza kuzitunza nguvu za mkono wake, wala mfalme hatasimama wala mkono wake. Ataachwa-- yeye na wale waliomleta, na baba yake, na yeye aliyemuunga mkono nyakati hizo.

View File

@ -196,6 +196,7 @@
"11-title",
"11-01",
"11-03",
"11-05",
"11-07",
"11-10",
"11-11",