From 4f74b48ed77ae376577a23cc7cd6124f64c5a349 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Fri, 20 Jan 2023 08:45:30 +0300 Subject: [PATCH] Fri Jan 20 2023 08:45:29 GMT+0300 (East Africa Time) --- 08/05.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/08/05.txt b/08/05.txt index b95b1c9..aecc69e 100644 --- a/08/05.txt +++ b/08/05.txt @@ -1 +1 @@ -\v 5 Na nilipokuwa natafakari juu ya hili, niliona beberu akitoka magharibi, na kuvuka katika uso wa dunia yote, akikimbia kwa kasi kana kwamba hakuonekana ka aligusa ardhini. Mbuzi huyo alikuwa na pembe kubwa katikati ya macho yake. \v 6 Alienda mpaka kwa kondoo aliyekuwa na pembe mbili, nilikuwa nimemwona kondoo dume amesimama katika ukingo wa mfereji na mbuzi alikimbia kumwelekea kondoo dume kwa hasira kali. \ No newline at end of file +\v 5 Na nilipokuwa natafakari juu ya hili, niliona beberu akitoka magharibi, na kuvuka katika uso wa dunia yote, akikimbia kwa kasi kana kwamba haonekani akigusa ardhi. Mbuzi huyo alikuwa na pembe kubwa katikati ya macho yake. \v 6 Alienda mpaka kwa kondoo aliyekuwa na pembe mbili, nilikuwa nimemwona kondoo dume amesimama katika ukingo wa mfereji na mbuzi alikimbia kumwelekea kondoo dume kwa hasira kali. \ No newline at end of file