Wed Jan 18 2023 08:01:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-18 08:01:12 +03:00
parent 77ef577eb5
commit 4b1085361e
2 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 22 Wewe mwana wake, Belshaza, haujaunyenyekeza moyo wako, ingawa uliyajua haya yote. \v 23 Umejiinua mwenyewe kinyume cha Bwana wa mbinguni. Katika nyumba yake walikuletea vyombo ambavyo wewe, wakuu wako, wake zako na masuria wako walivinywea, na kisha ukaisifia sana sanamu zilitengenezwa kwa fedha na dhahabu, shaba, chuma, mbao, na mawe - sanamu ambazo haziwezi kuona, kusikia wa kujua kitu chochote. Haujamheshimu Mungu ambaye anaishikilia pumzi yako katika mkono wake na ambaye anazijua njia zako zote. \v 24 Ndipo Mungu aliutuma mkono kutoka katika makao yake na maandishi haya yaliandikwa.
\v 22 Wewe mwana wake, Belshaza, haujaunyenyekeza moyo wako, ingawa uliyajua haya yote. \v 23 Umejiinua mwenyewe kinyume cha Bwana wa mbinguni. Katika nyumba yake walikuletea vyombo ambavyo wewe, wakuu wako, wake zako na masuria wako walivinywea, na kisha ukaisifia sana sanamu zilitengenezwa kwa fedha na dhahabu, shaba, chuma, mbao, na mawe--sanamu ambazo haziwezi kuona, kusikia wala kujua kitu chochote. Haujamheshimu Mungu ambaye anaishikilia pumzi yako katika mkono wake na ambaye anazijua njia zako zote. \v 24 Ndipo Mungu aliutuma mkono kutoka katika makao yake na maandishi haya yaliandikwa.

View File

@ -116,6 +116,8 @@
"05-13",
"05-15",
"05-17",
"05-20"
"05-20",
"05-22",
"05-25"
]
}