Fri Jan 20 2023 10:09:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 10:09:30 +03:00
parent 3e4ba9ad6a
commit 4a75515000
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Nguvu zake zitakuwa kuu--lakini si kwa nguvu zake mwenyewe. Atakuwa wa kustaajabisha kwa kile atakachokuwa anakiharibu; atatenda na kufanikiwa. Atawaangamiza watu wenye nguvu, watu miongoni wa watakatifu. \v 25 Ataufanya udanganyifu usitawi chini ya mkono wake kwasababu ya ujanja wake. Atawaangamiza watu wengi bila kutegemea. Atainuka pia hata kinyume cha Mfalme wa wafalme, na atavunjwa, lakini si kwa mkono wowote wa binadamu.
\v 24 Nguvu zake zitakuwa kuu--lakini si kwa nguvu zake mwenyewe. Atakuwa wa kustaajabisha kwa kile atakachokuwa anakiharibu; atatenda na kufanikiwa. Atawaangamiza watu wenye nguvu na watu watakatifu. \v 25 Ataufanya udanganyifu usitawi chini ya mkono wake kwasababu ya ujanja wake. Atawaangamiza watu wengi bila kutegemea. Atainuka pia hata kinyume cha Mfalme wa wafalme, na atavunjwa, lakini si kwa mkono wowote wa binadamu.