Fri Jan 20 2023 09:05:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 09:05:31 +03:00
parent 30f5c65a73
commit 4823021b54
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Niliiona mbuzi ikija karibu na kondoo. Mbuzi alikuwa na hasira kali dhidi ya kondoo, na alimgonga kondoo na kuzivunja pembe zake mbili. Kondoo hakuwa na nguvu za kusimama mbele zake. Mbuzi alimgonga kondoo kwa kumbwaga chini na kumkanyagakanyaga. Hapakuwa na yeyote wa kumwokoa kutoka katika nguvu zake. \v 8 Ndipo mbuzi alikua mkubwa sana, lakini alipokuwa na nguvu, pembe kubwa ilivunjwa, na katika sehemu yake zilichipuka na kukua pembe nne kubwa zilizochomoza kuelekea pepo nne za mbingu.
\v 7 Niliiona mbuzi akija karibu na kondoo. Mbuzi alikuwa na hasira kali dhidi ya kondoo, na alimgonga kondoo na kuzivunja pembe zake mbili. Kondoo hakuwa na nguvu za kusimama mbele zake. Mbuzi alimgonga kondoo kwa kumbwaga chini na kumkanyagakanyaga. Hapakuwa na yeyote wa kumwokoa kutoka katika nguvu zake. \v 8 Ndipo mbuzi alikua mkubwa sana, lakini alipokuwa na nguvu, pembe kubwa ilivunjwa, na katika sehemu yake zilichipuka na kukua pembe nne kubwa zilizochomoza kuelekea pepo nne za mbingu.