Fri Jan 20 2023 08:59:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 08:59:31 +03:00
parent a639933548
commit 409b21c5b8
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Niliiona mbuzi ikija karibu na kondoo. Mbuzi alikuwa na hasira kali dhidi ya kondoo, na alimgonga kondoo na kuzivunja pembe zake mbili. Kondoo hakuwa na nguvu za kusimama mbele zake. Mbuzi alimbwaga kondoo akaanguka chini na akamkanyaga. Hapakuwa na yeyote wa kumwokoa kutoka katika nguvu zake. \v 8 Ndipo mbuzi alikua akawa mkubwa, lakini alipokuwa na nguvu, pembe kubwa ilivunjwa, na katika sehemu yake zilichipuka na kukua pembe nne kubwa zilizochomoza kuelekea pepo nne za mbingu.
\v 7 Niliiona mbuzi ikija karibu na kondoo. Mbuzi alikuwa na hasira kali dhidi ya kondoo, na alimgonga kondoo na kuzivunja pembe zake mbili. Kondoo hakuwa na nguvu za kusimama mbele zake. Mbuzi alimgonga kondoo na kumwangusha chini na akamkanyaga. Hapakuwa na yeyote wa kumwokoa kutoka katika nguvu zake. \v 8 Ndipo mbuzi alikua akawa mkubwa, lakini alipokuwa na nguvu, pembe kubwa ilivunjwa, na katika sehemu yake zilichipuka na kukua pembe nne kubwa zilizochomoza kuelekea pepo nne za mbingu.