Thu Jan 26 2023 17:30:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-26 17:30:33 +03:00
parent 3de857aeec
commit 3cf009369b
3 changed files with 2 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Ndipo nilipotaka kujua zaidi juu ya mnyama wa nne, ambaye alikuwa tofauti sana na wengine na alikuwa wa kutisha pamoja na meno yake ya chuma na makucha ya shaba; alimeza, na alivunja vipande vipande, na alisagasaga kwa miguu yake kile kilichokuwa kimesalia. \v 20 Nilitaka kujua juu ya pembe kumi katika kichwa chake, na kuhusu pembe nyingine iliyochomoza, na ambayo mbele yake pembe zingine tatu zilianguka chini. Nilitaka kujua kuhusu pembe yenye macho na kuhusu mdomo uliojigamba kwa mambo makuu na ambayo ilionekana kuwa ni kubwa kuliko zingine.
\v 19 Ndipo nilipotaka kujua zaidi juu ya mnyama wa nne, ambaye alikuwa tofauti sana na wengine na alikuwa wa kutisha pamoja na meno yake ya chuma na makucha ya shaba; alimeza, na alivunja vipande vipande, na alisagasaga kwa miguu yake kile kilichokuwa kimesalia. \v 20 Nilitaka kujua juu ya pembe kumi katika kichwa chake, na kuhusu pembe nyingine iliyochomoza, na ambayo mbele yake pembe nyingine tatu zilianguka chini. Nilitaka kujua kuhusu pembe yenye macho na kuhusu mdomo uliojigamba kwa mambo makuu na ambayo ilionekana kuwa ni kubwa kuliko nyingine.

View File

@ -1 +1 @@
\v 23 Hiki ndicho mtu yule alichokisema, 'Kwa habari ya mnyama wanne, utakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia ambao utakuwa tofauti na falme zingine zote. Utaimeza dunia yote, na utaikanyaga yote chini na kuivunja vunja vipande vipande. \v 24 Na kuhusu pembe kumi, kutoka katika ufalme huu, wafalme kumi watainuka, na mwingine atainuka baada yao. Atakuwa wa tofauti na wale waliomtangulia, na atawashinda wale wafalme watatu.
\v 23 Hiki ndicho mtu yule alichokisema, 'Kwa habari ya mnyama wanne, utakuwa ni ufalme wa nne juu ya dunia ambao utakuwa tofauti na falme nyingine zote. Utaimeza dunia yote, na utaikanyaga yote chini na kuivunja vunja vipande vipande. \v 24 Na kuhusu pembe kumi, kutoka katika ufalme huu, wafalme kumi watainuka, na mwingine atainuka baada yao. Atakuwa wa tofauti na wale waliomtangulia, na atawashinda wale wafalme watatu.

View File

@ -150,7 +150,6 @@
"07-17",
"07-19",
"07-21",
"07-23",
"07-25",
"07-27",
"08-title",