Fri Jan 20 2023 13:01:30 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 13:01:31 +03:00
parent bc1d9f5299
commit 3412a9bca1
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Lakini tawi kutoka katika mizizi yake litachipuka katika nafasi yake. Atalishambulia jeshi na kuingia ngome ya mfalme wa Kaskazini. Atapigana, na atawashinda. \v 8 Ataiteka miungu yao pamoja na mpaka Misri pamoa na sanamu zao za chuma na vyombo vyao vya fedha na vya dhahabu vyenye thamani. Kwa miaka mingi atakaa mbali na mfalme wa Kaskazini. \v 9 Kisha mfalme wa Kaskazini atauvamia ufalme wa mfalme wa Kusini, lakini atajitoa na kwenda katika nchi yake mwenyewe.
\v 7 Lakini tawi kutoka katika mizizi yake litachipuka katika nafasi yake. Atalishambulia jeshi na kuingia ngome ya mfalme wa Kaskazini. Atapigana, na atawashinda. \v 8 Ataiteka miungu yao kuipepamoja na sanamu zao za chuma na vyombo vyao vya fedha na vya dhahabu vyenye thamani. Kwa miaka mingi atakaa mbali na mfalme wa Kaskazini. \v 9 Kisha mfalme wa Kaskazini atauvamia ufalme wa mfalme wa Kusini, lakini atajitoa na kwenda katika nchi yake mwenyewe.