Tue Jan 17 2023 13:54:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-17 13:54:56 +03:00
parent 52759ca073
commit 326a5ac6cf
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Mimi, Nebukadneza, nilikuwa ninaishi kwa furaha katika nyumba yangu, na nilikuwa nikifurahia mafanikio katika ikulu yangu. \v 5 Lakini ndoto niliyoiota ilifanya niogope. Nilipokuwa nimejilaza pale, taswira niliyoiona na maono katika akili yangu yalinitaabisha. \v 6 Basi nilitoa agizo la kuwaleta mbele yangu watu wote wa Babeli waliokuwa na hekima ili kwamba waweze kunitafsiria ndoto.
\v 4 Mimi, Nebukadneza, nilikuwa ninaishi kwa furaha katika nyumba yangu, na nilikuwa nikifurahia mafanikio katika ikulu yangu. \v 5 Lakini ndoto niliyoiota ilifanya niogope. Nilipokuwa nimejilaza pale, taswira niliyoiona na maono katika akili yangu yalinitaabisha. \v 6 Basi nilitoa amri ya kuwaleta mbele yangu watu wote wa Babeli waliokuwa na hekima ili kwamba waweze kunitafsiria ndoto.

View File

@ -87,6 +87,7 @@
"03-28",
"03-29",
"04-title",
"04-01"
"04-01",
"04-04"
]
}