Fri Jan 20 2023 10:53:29 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 10:53:31 +03:00
parent a37f484222
commit 2f7eaee7fd
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Tumetenda dhambi na tumefanya yaliyo mabaya. Tumeenenda kwa uovu na tumeasi, tumegeuka upande kinyume na amri na maagizo yako. \v 6 Hatujawasikiliza watumishi wako manabii waliozungumza na wafalme wetu, viongozi wetu, baba zetu, na kwa watu wote wa nchi kwa jina lako.
\v 5 Tumetenda dhambi na tumefanya yaliyo mabaya. Tumeenenda kwa uovu na tumeasi, tumegeuka upande kinyume na amri na maagizo yako. \v 6 Hatujawasikiliza watumishi wako manabii waliozungumza na wafalme wetu, viongozi wetu, babu zetu, na kwa watu wote wa nchi kwa jina lako.

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Kwako Bwana, kuna uadilifu. Hata hivyo, kwetu kuna aibu katika nyuso zetu, kwa watu wa Yuda na wale wanaoishi Yerusalem, na kwa Israeli yote. Hii ni pamoja na wale walio karibu na wale walio mbali katika nchi zote ambazo kwazo uliwatawanya. Hii ni kwasababu ya udanganyifu mkubwa tulioufanya kinyume chako. \v 8 Kwetu sisi, Yahweh, kuna fedheha katika nyuso, na kwa wafalme wetu, na kwa viongozi wetu, na kwa baba zetu, kwasababu tumekutenda dhambi wewe.
\v 7 Kwako Bwana, kuna uadilifu. Hata hivyo, kwetu leo, kuna aibu katika nyuso zetu, kwa watu wa Yuda na wale wanaoishi Yerusalem, na kwa Israeli yote. Hii ni pamoja na wale walio karibu na wale walio mbali katika nchi zote ambazo kwazo uliwatawanya. Hii ni kwasababu ya udanganyifu mkubwa tulioufanya kinyume chako. \v 8 Kwetu sisi, Yahweh, kuna fedheha katika nyuso, na kwa wafalme wetu, na kwa viongozi wetu, na kwa baba zetu, kwasababu tumekutenda dhambi wewe.

View File

@ -170,6 +170,7 @@
"08-27",
"09-title",
"09-01",
"09-03"
"09-03",
"09-05"
]
}