Fri Jan 20 2023 12:55:30 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
04de0e90f1
commit
2eadfe3234
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 5 Mfalme wa Kusini atakuwa na nguvu, lakini mmoja kati ya maamiri jeshi wake atakuwa mwenye nguvu kuliko yeye na atautawala ufalme wake kwa nguvu kubwa. \v 6 Baada ya miaka michache, wakati muda utakapokuwa umetimia , watafanya muungano. Binti wa mfalme wa Kusini atakuja kwa mfalme wa Kaskazini kuyathibitisha makubaliano yao. Lakini hataweza kuzitunza nguvu za mkono wake, wala mfalme hatasimama wala mkono wake. Ataachwa na wale waliomleta, na baba yake, na yeye aliyemwunga mkono katika nyakati hizo.
|
||||
\v 5 Mfalme wa Kusini atakuwa na nguvu, lakini mmoja kati ya maamiri jeshi wake atakuwa mwenye nguvu kuliko yeye na atautawala ufalme wake kwa nguvu kubwa. \v 6 Baada ya miaka michache, wakati muda utakapokuwa umetimia , watafanya muungano. Binti wa mfalme wa Kusini atakuja kwa mfalme wa Kaskazini kuyathibitisha makubaliano yao. Lakini hataweza kuzitunza nguvu za mkono wake, wala mfalme hatasimama wala mkono wake. Ataachwa-- yeye na wale waliomleta, na baba yake, na yeye aliyemwunga mkono katika nyakati hizo.
|
Loading…
Reference in New Issue