Thu Jan 26 2023 17:24:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-26 17:24:33 +03:00
parent f9f5ea5224
commit 105d5bd45d
3 changed files with 2 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Na nilipotazama, viti vya enzi vilikuwa vimewekwa pahali pake, na Mtu wa siku za kale alikaa sehemu yake. Mavazi yake yalikuwa meupe kama theruji, na nywele zake katika kichwa chake zilikuwa safi kama sufu. Kiti chake cha enzi kilikuwa na miali ya moto, na magurudumu yake yalikuwa yanawaka moto.
\v 9 Na nilipotazama, viti vya enzi vilikuwa vimewekwa pahali pake, na Mtu wa siku za kale alikaa sehemu yake. Mavazi yake yalikuwa meupe kama theruji, na nywele zake katika kichwa chake zilikuwa safi kama sufu. Kiti chake cha enzi kilikuwa miali ya moto, na magurudumu yake yalikuwa yanawaka moto.

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Niliendelea kuangalia kwasababu ya maneno ya kiburi yaliyosemwa na pembe. Nilitazama wakati mnyama anauliwa, na mwili wake uliharibiwa, na ulitolewa kwa ajili ya kuchomwa moto. \v 12 Na kwa wale wanyama wanne waliosalia, mamlaka yao yalitwaliwa mbali, lakini maisha yao yalirefushwa kwa kipindi fulani cha muda.
\v 11 Niliendelea kuangalia kwasababu ya maneno ya kiburi yaliyosemwa na pembe. Nilitazama wakati mnyama anauawa, na mwili wake kuharibiwa, na ulitolewa kwa ajili ya kuchomwa moto. \v 12 Na kwa wale wanyama wanne waliosalia, mamlaka yao yalitwaliwa mbali, lakini maisha yao yalirefushwa kwa kipindi fulani cha muda.

View File

@ -144,7 +144,6 @@
"07-08",
"07-09",
"07-10",
"07-11",
"07-13",
"07-15",
"07-17",