diff --git a/08/18.txt b/08/18.txt index d1edbb1..731cfea 100644 --- a/08/18.txt +++ b/08/18.txt @@ -1 +1 @@ -\v 18 Alipoongea na mimi, nilipata usiingizi mzito nikiwa nimelala kifudifudi. Kisha alinishika na kunisimamisha. \v 19 Akaniambia, "Tazama, nitakuonyesha kile kitachotokea baadaye katika kipindi cha ghadhabu, kwasababu maono haya yanahusu wakati wa mwisho uliowekwa. \ No newline at end of file +\v 18 Alipoongea na mimi, nilipata usingizi mzito nikiwa nimelala kifudifudi. Kisha alinishika na kunisimamisha. \v 19 Akaniambia, "Tazama, nitakuonyesha kile kitachotokea baadaye katika kipindi cha ghadhabu, kwasababu maono haya yanahusu wakati wa mwisho uliowekwa. \ No newline at end of file