Fri Jan 20 2023 13:51:30 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 13:51:31 +03:00
parent 9796d866b6
commit 0b32d2db72
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 25 Ataamsha nguvu zake na moyo wake kinyume na mfalme wa Kusini kwa jeshi kubwa. Mfalme wa Kusini atapigana vita akiwa na jeshi kubwa hasa na lenye nguvu, lakini hataweza kusimama kwa kuwa wengine watafanya njama dhidi yake. \v 26 Hata wale wanaokula chakula chake kizuri watajaribu kumwangamiza. Jeshi lake litakatiliwa mbali kama gharika, na wengi wao watauawa. \v 27 Wafalme wote hawa wawili, wakiwa na mioyo yao imejawa na uovu kinyume na mwenzake, watakaa katika meza moja na kudanganyana, lakini haitakuwa na maana yoyote. Kwa kuwa mwisho utatokea kwa kipindi ambacho kimeshapangwa.
\v 25 Ataamsha nguvu zake na moyo wake kinyume na mfalme wa Kusini kwa jeshi kubwa. Mfalme wa Kusini atapigana vita akiwa na jeshi kubwa hasa na lenye nguvu, lakini hataweza kusimama kwa kuwa wengine watafanya njama dhidi yake. \v 26 Hata wale wanaokula chakula chake kizuri watajaribu kumwangamiza. Jeshi lake litakatiliwa mbali kama gharika, na wengi wao watauawa. \v 27 Wafalme wote hawa wawili, wakiwa na mioyo yao imejawa na uovu kinyume na mwenzake, watakaa katika meza moja na kudanganyana, lakini haitakuwa na maana yoyote. Kwa kuwa mwisho utatokea kwa wakati uliokwisha kupangwa.

View File

@ -205,6 +205,7 @@
"11-15",
"11-17",
"11-20",
"11-23"
"11-23",
"11-25"
]
}