Fri Jan 20 2023 13:23:30 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-20 13:23:31 +03:00
parent 5d349fabe3
commit 050fb8de2b
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Mfalme wa Kaskazini atakuja, kuizingira nchi kwa kuweka vilima, na kuuteka mji wenye ngome. Majeshi ya Kusini hayataweza kusimama, hata wanajeshi wake bora. Hawatakuwa na nguvu za kusimama. \v 16 Badala yake, yeye ajaye dhidi yake ataenenda kama atakavyo, na hakuna hata mmoja atakayesimama katika njia yake. Atasimama katika chi ya uzuri, na uharibifu utakuwa mkononi wake.
\v 15 Mfalme wa Kaskazini atakuja, kuizingira nchi kwa kuweka vilima, na kuuteka mji wenye ngome. Majeshi ya Kusini hayataweza kusimama, hata wanajeshi wake bora. Hawatakuwa na nguvu za kusimama. \v 16 Badala yake, yeye ajaye dhidi yake ataenenda kama atakavyo, na hakuna hata mmoja atakayesimama katika njia yake. Atasimama katika Nchi ya Uzuri, na uharibifu utakuwa mkononi mwake.

View File

@ -201,6 +201,7 @@
"11-10",
"11-11",
"11-13",
"11-14"
"11-14",
"11-15"
]
}