Thu Jan 26 2023 16:48:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-26 16:48:34 +03:00
parent 7be0406ab7
commit 0229e5053c
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 31 Wakati maneno yakli katika midomo ya mfalme, sauti ilisikika kutoka mbinguni: "Mfalme Nebukadneza, imetangazwa kwako kwamba ufalme huu umeondolewa kutoka kwako. \v 32 Utafukuziwa mbali kutoka miongoni mwa watu, na makao yao yatakuwa pamoja na wanyama wa mwitu katika mashamba. Utafanywa kulamajani kama ng'ombe. Miaka saba itapita mpaka pale utakapokiri kwamba Mungu Aliye Juu anatawala juu ya falme za watu na humpa ufalme mtu yeyote amtakaye."
\v 31 Wakati maneno yakingali kwenye midomo ya mfalme, sauti ilisikika kutoka mbinguni: "Mfalme Nebukadneza, imetangazwa kwako kwamba ufalme huu umeondolewa kutoka kwako. \v 32 Utafukuziwa mbali kutoka miongoni mwa watu, na makao yao yatakuwa pamoja na wanyama wa mwitu katika mashamba. Utafanywa kulamajani kama ng'ombe. Miaka saba itapita mpaka pale utakapokiri kwamba Mungu Aliye Juu anatawala juu ya falme za watu na humpa ufalme mtu yeyote amtakaye."

View File

@ -100,9 +100,9 @@
"04-24",
"04-26",
"04-28",
"04-31",
"04-33",
"04-34",
"04-35",
"04-36",
"05-title",
"05-01",