sw_dan_text_reg/10/02.txt

1 line
202 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 2 Katika siku hizo, mimi Danieli, nilikuwa katika maombolezo kwa wiki tatu. \v 3 Sikula chakula kitamu, sikula nyama, sikunywa divai, na sikujipaka mafuta mwenyewe mpaka ukamilifu wa wiki tatu nzima.