1 line
359 B
Plaintext
1 line
359 B
Plaintext
\v 39 Sisi ni mashahidi wa mambo yote Yesu aliyoyafanya katika nchi za Wayahudi na katika Yerusalemu. Walimuua kwa kumtundika juu ya mti, \v 40 Lakini Mungu alimfufua siku ya tatu na kumfanya aonekane, \v 41 si kwa watu wote, lakini kwa mashahidi waliochaguliwa kabla na Mungu. - sisi wenyewe, tulio kula naye na kunywa naye baada ya kufufuka kutoka kwa wafu. |