sw_act_text_ulb/10/09.txt

1 line
510 B
Plaintext

\v 9 Sasa siku iliyofuata muda wa saa sita walipokuwa katika safari yao, nao walikuwa wakiukaribia mji, Petro alipanda juu darini kuomba. \v 10 Yeye basi akawa na njaa na alihitaji kitu cha kula, lakini wakati watu walipokuwa wanapika chakula, akaonyeshwa maono, \v 11 akaona anga limefuguka na chombo kinashuka, kitu fulani kama nguo kubwa ikishuka chini kwenye ardhi, chini kwa pembe zake nne. \v 12 Ndani yake kulikuwa na aina zote za wanyama wenye miguu minne na watambaao juu ya ardhi, na ndege wa angani.