sw_act_text_ulb/24/14.txt

6 lines
927 B
Plaintext

<<<<<<< HEAD
\v 14 Ila nakiri hili kwako, ya kwamba kwa njia ile ambayo wanaiita dhehebu, kwa njia iyo hiyo ninamtumikia Mungu wa baba zetu. Mimi ni mwaminifu kwa yote yaliyoko kwenye sheria na maandiko ya manabii. \v 15 Nina tumaini lile lile kwa Mungu ambao hata hao nao pia wanalingojea, kuja kwa ufufuo wa wafu, kwa wote wenye haki na waovu. \v 16 Hivyo kila mara, najitahidi kuwa na dhamira isiyo na hatia mbele za Mungu na mbele ya wanadamu.
=======
\v 14 Ila nakiri hili kwako, ya kwamba kwa njia ile ambayo wanaiita dhehebu, kwa njia iyo hiyo ninamtumikia Mungu wa baba zetu.Nikiamini mambo yote kulingana na maandiko ya manabii. \v 15 Nina matumaini yale yale kwa Mungu ambao hata hao nao wanaungojea, kuja kwa ufufuo wa wafu, kwa wote wenye haki na wasio na haki pia; \v 16 na kwa hili, ninajitahidi ili niwe na dhamira isiyo na hatia mbele za Mungu na mbele ya watu.
>>>>>>> 641795131ed10711930bea4f72ce83f81dc70d3c