sw_act_text_ulb/12/18.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 18 Sasa ilipofika mchana, hakukuwa na usumbufu mdogo kati ya askari, kuhusiana na kilichotokea kwa Petro. \v 19 Baada ya Herode kumtafuta na hakuweza kumpata akawauliza walinzi na akaamuru wauawe. Akaenda kutoka uyahudi mpaka Kaisaria na kukaa huko.