sw_act_text_ulb/10/39.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 39 Sisi ni mashahidi wa mambo yote aliyoyafanya katika nchi za Uyahudi na katika Yerusalemu- huyu ni Yesu waliyemuua na kumtundika mtini. \v 40 Huyu mtu Mungu alimfufua siku ya tatu na kumpa kujulikana, \v 41 si kwa watu wote, lakini kwa mashahidi waliochaguliwa kabla na Mungu. - sisi wenyewe, tulio kula naye na kunywa naye baada ya kufufuka kutoka kwa wafu.